ZIFAHAMU MBOLE NA MATUMIZI YAKE KWA AJILI YA KUOTESHEA MAZAO.
2 YEARS AGO Wapendwa wasomaji wa makala za kilimo katika blog yetu ya Kilimo bora leo tumekuandalia makala nzuri juu ya Mbolea . Mbolea kwa maana ya kueleweka kwa haraka ni kitu chochote kinacho ongeza virutubisho muhimu kwenye udondo ambavyo hutumiwa na mimea ili kuboresha ukuaji wa mimea na upatikanaji wa mavuno mazuri. Kuna aina mbalimbali za mbolea kama mbolea za asili Mbolea za asili mfano, Samadi, Mboji, mbolea za kijani na Mbolea za viwandani mfano DAP, YaraMila 1. Mbolea za asili Mbolea aina ya Mboji (Mabaki ya Mazao) . Mbolea hizi hutokana na vinyesi vya wanyama, mabaki ya mazao shambani,majivu na takataka nyingine ambazo ni rafiki kwa mazao na udongo (takataka zisizo na madhara kwenye udongo). Mbolea za asili zinafaa sana kutumika wakati wa kuandaa shamba/ mkulima anaweza kuchamganya mbolea ya asili na udongo wakati wa kulima au mkulima kuitumia mbolea ya asili kupandia mazao yake mfano mahindi, mharagwe, mboga mboga na maz...

Comments
Post a Comment